Ah rafiki ndugu na jamaa zangu wanalalamika Msamaria wa leo amebadilikaga Facebook yuko hewani kila muda utamuona Hatakujibu na hata ukiandika Ah wengine wanadai Aliniomba namba WhatsApp nikanyima Hajui kwamba ni hatari Hata simu ya kuchat naazima Wengine ati nawasahau Wengine ati nawadharau Sababu superstar wa mda mdogo Ooh wamesahau mziki wa Abuja Ni michosho michosho tu Natoa changu mfukoni Siingizi kitu walahi Ah najihisi raha Naposkia nyimbo zangu kitaani Ila roho inauma Napo guza mfukoni aah Tararara raa, tararara raa Wanafunzwa na umaarufu wangu Tararara raa Ooh nisaidie Maulana Mara rafiki anichukie Anaponiomba vocha nisipompatia Hataji Mungu aninunie Pale anaponibeep nisimpo mpigie Wana mateja wanitinge Nikirudi nyumbani Nyakara Wanigonge gonge ngumi Kisa wamekuta ufukoni sina hela Msamaria na meneja Wenye pesa nyumba na gari kali Jamani vile sio vyangu Sina hata baiskeli natembea kwa mguu Shabiki haamini Pale tunapokutana Anitegemea kuona mng'aro Kulingana jinsi navyojulikana Ah mziki wa Buja haulipi kiufupi Meneja wangu anajituma Ili aone kama nitatoboa tundu Niwe kama wengine Ila lala Tatizo ni copy za studio za utani Na tarara Na nyimbo feki feki ndo zimezagaa Najihisi raha Naposkia nyimbo zangu kitaani Ila roho inauma Napo guza mfukoni aah Tararara raa tararara raa Ooh tantarara tararara raa Eeeh Mola wangu nisaidie Tararara raa Heart ya mwenzetu inaumia Tararara raa tararara raa