Ya badman Mopao na simba laa ma S2kizzzy babee Aiiyioo eeh Koma kunichokonoa Kunifatafata kuna Muda vinaboa Mhh mhh Aku! Utanitia doa Niliyenae moyo wake tishu utalowa Mhhm Najua nakuudhi Huyu wa sasa amekuzid maujuzi mhhmh So usilete attitude kunibishana Bishana am not in the mood eehyi Niko salama salama Sijui ww huko Huku napewa nyama nyama Kwa nyama cjui ww huko wuu Niko salama salama Sijui wew huko wuu Huku inabana banabanana cjui ww huko Onaa usiniulize hali niko very good Nimeglow sanaa pochi limenona Aah aih mwenzako mm niko very gud Nimeglow sanaa hehee pochi limenona eeh Alhamdulillah angeniuwa Yule maana mtu si mtu jini si msukule Hiv mapenzi gani kuoigana kama shule Mie nampa huku ya anayatoa kule Ooh nuru hii ningeitoa wapi Kufumania kila siku kushikana mashati Ooh nuru hii ningeitoa wapi Kutukaniwa mpaka ndugu ndo mapenzi ya wapi Na simu zako usiku wa manane unikome Kunitumia meseji plz naomba unikome Wewe si jeuri haya move on tukuone Na mbichwa wako uso fadhila heshima hata tone Najwa najua nakuudhi huyu wa sasa amekuzidi maujuzi Eeh najua so usilete attitude kubishana Bishana am not in the mood aaihy! Mwnzko Niko salama salama sijui wewe huko Ooh kazi kwako kigagula mi Huku napewa nyama nyama kwa nyama cjui ww huko Niko salama salama sijui ww Huko huku inabana bana banana sijui ww huko Ex usiniulize swali niko very gud Nime glow sanaa mhh pochi limenona Mwenzako mm niko very gud Nimeglow sanaa ooh pochi limenona