Mama kwanza nilipokwona na Ulisema ati just a friend now Wala kwanza huna mpango naye Alitaka tu mkaspend a ride Na, na ukamkatalia, ukamkimbia Baki anaumia na eti analia Tena kwa hisia Ati kisa kuwa na we Maneno mengi kunidanganya Nikiwa sipo kumbe mnafanya Nimeshow love tena kwa sana Nitakosea nikikuita player Sitokosea nikikuita player mbona we (Come on, come on, come on) Sasa si wala we ungesema toka mwanzo Kama sipo hata kwenye yako mawazo Kisa nini ya mapenzi alizo nazo Hizo ambazo zimekuvutia Kwenye hizo zimekuvutia Hizo ambazo zimekuvutia wewe Kwenye hizo zimekuvutia Zimekuvutia Ati bora ningesema toka mwanzo Kama upo hata kwenye yako mawazo Kisa nilie mapendo nilizo nazo Hizo ambazo zimekuvutia Hizo zimekuvutia Zimekuvutia Hizo zimekuvutia mimi Zimekuvutia Usinizuge kwa makiss kibao Ati Diamond nakupenda sana Nikiwa sipo unanipiga bao Kwa mamisemo kwa Utadharau namba hii uchechema Sasa vipi? Vipi? Vipi? Sasa vipi? Vipi? Vipi? Wee Hamna noma nitaride nao Bora mtakoma bonge la mshangao Aya wewe sawa Maneno kibao 'cause unipenda alrigt Na naomba mshangao zaidi ya kima alright Unasema hutaki niona na yeye He is just a friend baby naomba nielewe Ni wangapi nimeponda nao Wala kwanza sina mpango nao Ukiniona nao unasema maboy Sasa nitakuwa na wangapi Wangapi mimi? Sasa si wala we ungesema toka mwanzo Kama sipo hata kwenye yako mawazo Kisa nini ya mapenzi alizo nazo Hizo ambazo zimekuvutia Kwenye hizo zimekuvutia Hizo ambazo zimekuvutia Kwenye hizo zimekuvutia wewe Zimekuvutia Ati bora ningesema toka mwanzo Kama upo hata kwenye yako mawazo Kisa nilie mapendo nilizo nazo Hizo ambazo zimekuvutia Hizo zimekuvutia Zimekuvutia Hizo zimekuvutia mimi Zimekuvutia Baby girl najua unanipenda But sometime kwanini unenitenda Unaniumiza roho sifuati ya hao Nachill nafeel nahisi sina deal Na kama unakuja njoo tena for real ma Nakuja natoka nakuacha nacheka Ukiniona unadeka na kumbe nikiondoka unateta Baby I never want you go go Like crazy, nabaki sema no, no