Motoni Kumedamshi Motoni Kumedamshi Yaani kufumba kufumbua najikuta tu peponi Mzee Majuto na Shehaya wanasoma Kurani Basi malaika kaniita mi nichungulie motoni Wanangu moto na wanakula bata kama wapo duniani Eeeh motoni kumechangamka balaa Mwitungi si shauri na chura ndani ya nira Mambo yana sharo milionnaire Wao wanatunga nyimbo ya kusifia zinara Nilipo ni mimoshi na minyama nyama Karata za bati zinachezwa kila kona Mi mpaka ninapata amani motoni Ila ndo vile Makabila mi dhambi sina Wanangu motoni kumedamshi Motoni kumedamshi Jamani motoni kumedamshi We motoni kumedamshi Mama moto unaonyesha --amelala chali Basi na sisi tulewe we tukatafute shari We biggy man la zisti pombe Suva anamwaga la zino na bangi Mikadomo anamwaga la zisti pombe Dulla hatari anamwaga la zino na bangi Wana bifu sio mbaya ila sio na washamba We wa mi crazy Mke kapewa simu kimada kajengewa nyumba We unajiita malaya sikuoni Facebook We unajiita malaya sikuoni Instagram We unajiita malaya sikuoni WhatsApp We unajiita malaya sikuoni Snapchat We unajiita malaya vipi ujue pasi hauna hata chura Ukijipodoa mrembo kinawahusu ka kigagura Jamani mmbeya anasema kweli lakini hajatumwa Kisha ushuhuda anaongea kweli lakini hajatumwa We msono Basi piga chobo gwai (chobo) Faridi mtupisi chobo gwai (chobo) We mwana samata chobo gwai (chobo) Chobo gwai, HK chobo gwai, chobo gwai Mwanaungu we jimwage (we jimwai mwai) Ah jimwage (we jimwai mwai) Mkubwa Fella jimwaga (we jimwai mwai) Babu Tale jimwage (we jimwai mwai) Bo silver zijimwage (we jimwai mwai) K Money jimwage (we jimwai mwai) Mamu wa daddy jimwage (we jimwai mwai) Cleopatra jimwage (we jimwai mwai) Dami Radadi jimwage (we jimwai mwai) Wika basi, twende tena Mama ukiinama donoa Wahuni donoa ukiinuka donoa Wanangu donoa ukiinama donoa Wahuni donoa ukiinuka donoa Wika basi, twende Mtoto wa tabia mbaya kadi si kwa baba yake Mtoto wa tabia nzuri kadi si kwa mama yake Mwana wa tabia mbaya kadi si kwa baba yake Mtoto wa tabia nzuri kadi si kwa mama yake Basi twende kama unalo tingisha We dada tingisha kama unalo tingisha Bafia tingisha kama unalo tingisha We mama tingisha kama unalo tingisha Basi twende Nioneshe unavyo chumaga mchicha tembele Mwanangu unavyo chumaga mchicha tembele Nioneshe unavyo chumaga mchicha tembele Wahuni wanavyo chumaga We makizube, atiatiatia cheza