Ooh ningekuwa demu Aah wanangu ingekuwaje Kama ningekuwa demu Najiuliza ingekuwaje Kama ningekuwa demu? Yaani madanga yangenikoma Kama ningekuwa demu Ningeitwa shemeji kila kona Kama ningekuwa demu Kwanza mi na bwanangu Mikonge kwa kulala Maana navo upenda Ule mchezo kama chakula Na katika pochi langu Hirizi ndo zingetawala Nyi mkiroga mpendwe Mi naroga nihongwe hela Hata ukipaka mkongo Mi ningetaka kuendelea Makelele kama nachinjwa Hata kama bwana Ana kibamia Na nikikupa siku moja tu Lazima utangaze ndoa Mimba hata ya miezi tisa Mi ukinitibu natoa Na nikilewa sikatai Mi ndo chakula cha masela Singeli hata ipigwe huko Ni lazima nitacheza chura Yaani najiuliza Ingekuwaje ningekuwa demu RJ kichwa nauliza Ingekuwaje ningekuwa demu Aah wanangu ingekuwaje Kama ningekuwa demu Najiuliza ingekuwaje Kama ningekuwa demu? Yaani madanga yangenikoma Kama ningekuwa demu Ah! Ningeitwa shemeji kila kona Kama ningekuwa demu Aah mazoea mazoea hujenga tabia Binti Santos anajulikana kila kona Kwa offer za bia Kweli mazoea mazoea hujenga tabia mama Ah bosi nelea naitwa baby tila Pande za offer za bia Waimba singeli nina siri zao, nina siri zao Nina siri zao mi nataka niwaambie Nina siri zao, nina siri zao Nina siri zao mi nataka niwaambie Naona wamechoka sana Nawapa gogo wakalie We nasikiwa wamechoka sana Nawapa gogo wakalie Mwanangu ukiroga huku Na mimi naroga kule Mwanangu ukichinja huku Na mimi nachinja kule Ala shindo na ukichimba huku Na mimi nachimba kule We tindo ukioga huku Na mimi naoga kule Yangu njia, yangu njia Yangu njia, yangu njia (wika) K Money ndo mwanangu we Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia Dulla hatari damu yangu mwanao nakukubali Yangu njia, yangu njia Mi sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia HK we mwanangu mi Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia Yaani Papichullo mwanangu we Dulla nakukubali Yangu njia, yangu njia We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali Yangu njia, yangu njia We Jacky Wolper mwanangu mwanao nakukubali Yangu njia, yangu njia We sikukatai sikupingi bwana tumetoka mbali Tia mguuu Basi twende Napenda likienda napenda likirudi Napenda unavyochezesha wowowo