(Humble yourself) Daisho Eljjah Hex (Robbie) Wakikuona ukipita Wengi wanaleta tamaa Ila mama mi na we Unajua wapi tumetoka Wakikuona dada Mpaka myoyo yao inawauma Ila mama mi na we Tunajua wapi tumetoka Kama maua tunafanana Kama ndege tunaendana Basi turuke pamoja aah ah Wewe tawi mimi jani Wewe maji mimi kiu Tusiachane mapema Utanitoa roho oh, oh Kwako nishafika mi Kwako ndo shanasa mi Kwako ndo sichomoki my lova Kwako ndo shafika mi Kwako ndo shanasa mi Kwako ndo sichomoki my lova My lova my lova ah, ah Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Oh sitamani Sitamani yeah Sitamani Ndo popo twavuka mto Mama we mama we Niitwe baba mama watoto Ni wewe ni wewe Nakitandani mi ndo niwe mto Mama we mama we Homa ikizidi unipe mseto Oh, baby Atawakisema kwako mi sitoki my Wewe kwangu kama Nandy na Bill Nass Tusiwe kama Mond na Zari Oh, baby Penzi letu kilo sio nusu Tuwakomeshe kwani hayiwahusu Mi na wewe aah Kwako nishafika mi Kwako ndo shanasa mi Kwako ndo sichomoki my lova Kwako ndo shafika mi Kwako ndo shanasa mi Kwako ndo sichomoki my lova My lova my lova ah, ah Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Sitamani niwe mbali mbali mbali na wewe Oh, baby Kwako nishafika mi Kwako nishanasa mi Kwako nimefika my lova My lova ah yeah, yeah Jay Star (K-One Music Baby)