(Özay bitch) Oh, yeah, yeah Uooh oh Yeah, yeah, yeah Kama nilikuwa nalazimisha na force Ningeacha mapema ooh oh Muziki akuna mtu Aliyenishawishi Kufanya ikikitu yeah eh Yaani ni kitu ninachokipenda sana ah Ni kitu nachokipenda ah yeah (ndani ya moyo wangu) Najua binadamu every time now Wananipangia mabaya Wanatamani kuniumiza aah Ila siwezi kukata tama eh, eh Ila siwezi kukata tama ah Najua safari ya mziki Sio rahisi (sio rahisi) Tupo wengi tunagombania Kiti cha moto (yaani kiti cha moto) Kusesema wale washa toboa (bora niachane nao) Wengine wapo kibao mtaani Wanapambana (tu mapambano) Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha Siwezi kuacha, siwezi kuacha Ila siwezi kukuacha, siwezi kuacha ah Siwezi kuacha mapema yeah, yeah Yeah wananitakia mabaya (yeah) Wanakutakia mabaya Kwa wengine tunawapa hofu ooh (hofu) Hawa wadogo wakishaona mwanga Watakuja kutu kanyagia chini Eh wanasema Wanasema Wanasema ah Mi kwa upande wangu Nafanya kazi kuendana na uwezo wangu Siwezi kusikiliza maneno yao oh Mi naamini one day nitakuwa juu Ah, ah, ah, ah aah yeah, yeah, yeah! Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha Siwezi kuacha, siwezi kuacha Ila siwezi kuacha, siwezi kuacha Siwezi kuacha, siwezi kuacha Ila siwezi kukuacha, siwezi kuacha ah Siwezi kuacha mapema yeah, yeah Mi siwezi Oh siwezi Siwezi yeah, yeah