Ozay bitch Ice sengen Watch gang Watch young gang Unaye mwamini anaweza kukuacha Unaye mpenda anaweza kukuacha Maisha ni siri hakuna waku yelewa Ila ninachotaka tu kukwambia We pambana utafika kwenye ndoto Utafika kwenye ndoto Kuna wakati watu Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Ngoja kwanza jiangalie So kila kikaacho ni dhahabu Unao wapenda wawo awakupendi Unao watakia mazuri wawo ni mabaya tu Ya layali ya layala Wanatamani sana Kukufanizia mabaya tu Furaha yao nikukuona we uteseke Furaha yao wawo walele Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza Watakuumiza