Na na na na na Yeah, yeah So alinipigia simu akasema 'ananipenda' (enhee) Anataka kuwa na mimi wikiendi Na kama itakuwa fresh, tunaweza chill humo (weeh) Tukakaa tuka-drive bike, kila bar, club zunguka jiji la Dar Nikapenda idea, akasema fresh, ninakupitia Friday Look good, cause we gonna party all day I'mma be your baby, show you off, nakupenda, sikufichi Alipokata tu nikapiga kwa mina Shoga nimepata wangu wa maisha, nigga got it She said: send me his picture, I did Na akakaa kama five minutes hakunirudia, ikabidi ni text tena Vipi mbona kimya au wamjua? Yes, bitch, this nigga is a liar, ni malaya Alinitaka me nikamkataa akaenda kwa Kayla And he's been texting Lala, now you? Hana haya! Nikawa confused What? You serious? Yes, let me send you his texts Alikuja kwangu akasema anaweza kuwa na mimi forever (Hahaa) Aah I don't know I know, I know, I know (yeah) Let him know That you know, that you know, that you know Anakudanganya huyo Anakudanganya (yeah yeah) Anakudanganya huyo Anakudanganya (yeah yeah) What is love? Nikaanza jiuliza Bro can hurt hadi ameniumiza Nikataka kulipiza, askali mtumwe kekekaa We show him sisi sio wa kucheza nao Well, it's good though, maybe amebadilika Should I try it? Naweza dharirika Ila ana features ambazo me napenda Maybe me na kupendwa, so why should I care? But he looks like a player navyomtizama Nikaanza m-stalk Instagram Through the comments na wanaom-follow, nikadata (weeh) Nikagata kina wema, Mimi Mars Na comments za makopakopa, mezaa Nimenuna, I'm thinking about it Nikubali anifate Twende tuka-party hell whole night I'm thinking about it Nikubali anifate Twende tuka-party Aaah I don't know I know, I know, I know (yeah) Let him know That you know, that you know, that you know Anakudanganya huyo Anakudanganya (yeah yeah) Anakudanganya huyo Anakudanganya (yeah yeah) What is love?