Aiyoo aiyola iyeeh Aiyola mamaaa! Aiyoo aiyola iyeeh Nilifundishwa na bibi Kijijini jinsi ya kupenda Na mwanamke hapigwi Na ngumi ila upande wa kanga Tena mapenzi sio league Nikakubali kushindwa Mi sikufunzwa graji Tushindane risasi kwa panga Mbona nilikudhamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani Wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tulipotokea Na kunishusha thamani Kipi nilichokosea Ingawa kidogo nilichopata Nikajinyima uridhike Ila hukujali ukanikatili moyoo Majirani walinicheka Uliponiforce nipikee Ahhh sio siri ilinivunja moyoo Kisirani, ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa kishingo upande Aiyooo aiyola iyehhh Sitaforce unipende Aiyooo aiyola iyheeeh Ila kishingo upande mama Aiyoo aiyolaa iyehhh Basi bora uende mama Aiyoo aiyola iyehhh Sitosema mapenzi basi Nimeumbwa na moyo Moyo wenye matamanio Na unapenda pia Ila nitaijuitia nafsi Nilikufanya chaguo Ahhh chaguo la moyo Kumbe ulipita njia Nilivyowanyima ndugu visiri nikakutunzia Usijeleta vurugu akili ukaitibua Najuta kujitia bubuu, sitaki vya kusikia Kisa pendo unisurubu mengi nishayafumbia Mbona nilikuthamini mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani, hukumbuki tulipotokea Na kunishusha thamani, kipi nilichokosea Kisirani, ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa kishingo upande Aiyooo aiyola iyehhh Sitaforce unipende Aiyooo aiyola iyheeeh Ila kishingo upande mama Aiyoo aiyolaa iyehhh Basi bora uende mama Aiyoo aiyola iyehhh