Brother acha ujinga Motto wa kike sifa yake kuringa Ubahiri mwisho iringa uoni kina konde boy Wanavyo mwaga mandinga mmh Kajala one and two tena zote ni range Mwenzetu umetuma ka laki tu na bado Unauliza chenji Eti kisa cha kumyimbia ni vipombe chips na vikuku Brother ukijiona bondia kazichape na mwakinyo Ama kiduku Ndio maana akipendacho binti Wahuni tunanunua ili ikifika mida ya miti Asije akasumbuwa Deka deka deka Nikudekeze Baby deka, hum, hum deka Aah deka nikudekeze Baby girls deka deka deka Deka nikudekeze, baby deka Deka deka deka nikudekeze Uhn uhn uhn uhn uhn Si wanapenda kubang Uhn uhn uhn uhn uhn Kumanisha nini Unaniletea u star Me mwenyewe star Hee, unaniletea u star Me mwenyewe star Yoo Kwanza mama yangu star (star) Baba yangu star (star) Wanangu ma star Weeh, iyo bebe yangu star Ex wangu star Mahepuko wangu star Inh sasa usinituletee u star Wenzako tunajinyima kula mwili ukonde Tupate na yi six pack Licha ya kunung'unula miuno ya kimakonde Ila bado mademu wanatu pack We unamtumia pengine hapati ati hata mia Kipindi unakazana kumkaribia Wenzako wanashindana kumgharamia Aki aki akipendacho binti Wakuni tunanunua ili ikifika mida ya miti Asije akasumbuwaa Deka deka deka Nikudekeze Baby deka, hum, hum deka Aah deka nikudekeze Baby girls deka deka deka Deka nikudekeze, baby deka Deka deka deka nikudekeze Konde boy call me number one