Yao yao, hahaha Jeshi (Young legendary) Yii Kondeboy Eeh, hainistui Hainistui Hainistui Hapa nilipo kesho yangu sijui Konde wenzako watakuroga (hainishtui) Au na wewe ushaogaa (hainishtui) Maana hunaga uoga (hainishtui) Hapa nilipo kesho yangu sijui Eeeh leo nimepata kesho nimekosa Kazi ya Mola haina makosa Huyu kampa boda mwingine verosa Vuta subira ngoja Mungu ajakutosa Majungu na fitina naa naa Zigeuze changamotoo Maneno muachie Amina naa naa Dawa ya moto ni motoo (Ooh nananaah) Wapo walosema Konde atapotea Konde atapotea Ndege katia gia chombo iyo inapepea Chombo inapepea Mi ninakula kwa jasho ooh-ooh Nipatacho naridhika Ninasubiri kesho ooh-ooh Zamu yangu itafika Nenda waambie, kwamba Eeh, hainistui Hainistui Hainistui Hapa nilipo kesho yangu sijui Ah wenzako wanakuchukia (hainistui) Tena wamepanga kukubania (hainistui) Isitoshe wao ni matajiri (hainistui) Usijali we tumia tu akili (hainistui) Yii, sinaga sifa za kujisifu najua Kila kukicha kwa Mungu naomba dua Hustle nazidisha ili nizidi tusua Wakinifunika kesho nitawafunua Tena waambie eeh eeh Mchanga hauzikwi Unaubadilisha makazi Huwezi ziba riziki Bure utajipa kazii Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh Nipatacho naridhika Ninasubiri kesho ooh-ooh Zamu yangu itafika Nenda waambie, kwamba Eeh, hainistui Hainistui Hainistui Hapa nilipo kesho yangu sijui Mwana anakula tungi mbayaa (hainishtui) Yule dada anadanga, malaya (hainishtui) Ataishi pabaya (hainishtui) Hapa nilipo kesho yangu sijui Ina-ina-inaa (the mix killer) Inauma ila itabidi wazoee Inauma ila itabidi wazoee (Wakimuona dodo na chopa) Inauma ila itabidi wazoee (Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa) Inauma ila itabidi wazoee Ooh my God it's Better Sound Hunter, hahahaha Kwako mwalimu kashasha