Yao Yao Oh nah nah nah Mmmh Sometimes what you dream can't be receiving Na huwezi kuvuna usichokipanda Thanks God for giving Ghetto sikuwa na umeme wala cable Jeans moja T-Shirt na yebo Ati leo namiliki lebo Lebo, Konde Gang lebo Siku zote kisicho kuua Kitakufanya uwe ngangari Ata mwanga huwezi kumjua So ishi nao kwa tahadhari My sister siku hizi shape ananunua We pambana upate salary Ila usisahau pesa maua So ukikosa hata usijali One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa Master na Lita Mlinifanya hasira zizidii Four love, njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi! Konde boy Jeshi! Na hizi wananiita Tembo Jeshi! Hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi! Konde boy Jeshi! Yaani wanangu wananiita Tembo Jeshi! Hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Ninaamini Mungu yupo Tena Naongea nae japo sisikii sauti yake Nikianguka ntainuka tena So usishangae why Tembo anahustle peke yake Coz I know, unapokiokota Ndo wakati wakutunza Ili kesho kisije potea Na unaposota ndo wakati wa kujifunza Ili ujue wapi ulipokosea Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subra Eey, cheki madili yanavyogogana Coz nina nyota ya Libra Mbona siwaoni walotumwa kunitukana Vichwa vyao viko kibra Tena siku hizi siimbi sana Acha washindane na Ibrah I say One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Three love kwa Master na Lita Mlinifanya hasira zizidii Four love, njia ngumu nilizopita Mkanipa na jina mkasema niitwe Jeshi! Konde boy Jeshi! Na hizi wananiita Tembo Jeshi! Hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi! Konde boy Jeshi! Yaani wanangu wananiita Tembo Jeshi! Hata we ni Jeshi! Yaani kama huna pigo za kirembo ni jeshi One love kwa wanangu wa kitaa Nyie ndo mnanunua CD Two love kwa wanafiki wa Insta Mnafanya niongeze bidii Konde Boy!