Konde Boy They call me Burna It's Platnumz Eeeh eeh eeh eeh Are you dey make me sit down dey sing this song (dala dala) You can't dey make me feel like I do you wrong (jaga jaga) If you want I might go give you more (jala jala) Today today, you go give me love (sawa sawa ooh) Eeeh eeh Nasifiwa kwa mapenzi na mademu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Burna Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Nasifiwa kwa mapenzi na mademu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Konde Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Hadi kaburu kwa mandera Rudi kwa bibi kinondoni Amber Lulu kunja dera Mwanangu Gigi simuoni, aje Aah inama (mama) Aah inuka (baby show them) Aah inama (hehehee) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down baby) Aah inuka (give it to them baby) Aah inama (heehe) Aah shika ukuta (ruksa kutunza) Sio sura sio shepu, mi nikimuona taabani Hivi si Nuna, Sepetu, Ama nimuite jina gani? Baby gyal your body killer (wee) Mwendo kama caterpilar Miguu ya pombe Tequila She dey bust my mind Ba mutu ba Congo kabila Madongo lunyamila And she so sweety, Vanilla She dey bust my mind (oh, oh, oh) Nobody sexy like my baby (mmh) Tena mwepesi akiwa kwa bedii Hadi kaburu kwa mandera Rudi kwa bibi kinondoni Amber Lulu kunja dera Mwanangu Gigi simuoni, aje Aah inama (mama) Aah inuka (baby show them) Aah inama (hehehee) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down baby) Aah inuka (give it to them baby) Aah inama (heehe) Aah shika ukuta (ruksa kutunza) Oya gyal dem, toto nyaupole Ana vimacho mlegezo gololi Katika game, funga tu goli Hatumalizagi mchezo ukae goli Kilima kilima (panda kilima), baby kilima (chii) Kisima kisima (mamba kisima), naingia kisima Nizame mpaka chini (ooh) Ebu, yaani katoto kachafu kama bata (eeh) Ah, ah, nami nakafanya ndafu nakang'ata Salamu ziende kwa Wanjala Doni Masha, kitasa kwenye bunyeru Waambie simba kacharara Anataka msambwanda kwa buku jeru, aje Aah inama (mama) Aah inuka (baby show them) Aah inama (hehehee) Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa) Aah inama (ah hii, go down baby) Aah inuka (give it to them baby) Aah inama (heehe) Aah shika ukuta (ruksa kutunza) Eeeh eeh Nasifiwa kwa mapenzi na mademu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Burna Boy, twaeka kila sehemu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Nasifiwa kwa mapenzi na mademu Wanapagawa mpaka wananiita handsome Simba, Mabishoo huniita sehemu Vile mademu zao nawapita handsome Konde Boy