Aah tunaanza upya sasa Hahaha, just beginning Chilli, Konde Boy Yaani Chilla na Konde Boy Aah Mola anakupa astahili Hakupi unachotaka Ndio maana nimetulia Nakukabidhi mtima Naridhi kifungu mbili Kukosa nakupata We unanivumilia Ata nikiwa sina Mi najua wapo Walosema hunifai Eti hatuendani Wanajichosha na kujipa taabu Ooh wapo walosema Umetoka na maasai Tena hadharani wakapotosha Umedu na mwarabu Ila mi ndo nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Sing'oki kisiki Ooh nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Aki sing'oki kisiki, msijipe taabu My boo, my boo, my boo Ooh lala lalala my boo My boo, my boo, my boo Ooh lala lala my boo Hawapendi kuniona na wewe Eti nimekaa nimechill na wewe Wanatamani niwe nimekwisha Ooh lalalala wakuchukue kabisa (eeh) (Hahaha, Love is sweet oh) Ah, nyie mafundi wa kuchamba Mnafanya kazi ya kanisa Ridhiki haivutwi kwa kamba Na wa kumi hapatagi tisa Mwenzenu fundi wa kulamba Tena anameza kabisa Sio kama najigamba Ila mbali ninamfikisha eeh Ndio maana Ananiganda ganda kama pochi Ananiganda (ndio maana) Nampanda panda kama kochi Nampanda Mi najua wapo Walosema we hunifai Eti hatuendani Wanajichosha na kujipa taabu Ooh wapo walosema Umetoka na maasai Tena hadharani wakapotosha Umedu na mwarabu Ila mi ndo nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Sing'oki kisiki Ooh nishapenda, nishapenda Sioni sisikii Siku zinakwenda, zinakwenda Aki sing'oki kisiki, msijipe taabu My boo, my boo, my boo Ooh lala lalala my boo My boo, my boo, my boo Ooh lala lala my boo Hawapendi kuniona na wewe Eti nimekaa nimechill na wewe Wanatamani niwe nimekwisha Ooh lalalala wakuchukue kabisa (eeh) Zuzuzu, zunguka waone Zuzuzu, zunguka waone Yii, asa zungusha body Zuzuzu, zunguka waone Kwani unadaiwa kodi? Zuzuzu, zunguka waone Ooh lele, Konde Boy Ananiganda ganda kama pochi Ananiganda (ndio maana) Nampanda panda kama kochi Nampanda Ooh my God it's Spencer