Ooh no Kesi serious, chii Konde boy Kwacho kwacho kwapa (brr okey) Wanishika kwa hapa (brr okey) Kwacho kwacho kwapa (brr okey) We nishike kwa hapa She is so fine, anapendeza hata bila vipodozi Eeh, and I love she giving me over dozi Eeeh, I love the way you move your body (Eeh eeh body ooh) Unanipandisha midadi (eeh eeh body ooh) Eeeh eeh, kachiri kachiri saga Inuka funga kanga, kachiri saga Matajiri matajiri saga Huko wanajipanga matajiri Basi go down, kwa nyuma Fanya kama mbuzi amegoma Slow down kwenye kona, ii Mwisho wa reli kigoma Nikomeshe Mpaka chini waonyeshe Aah, asa beiby nikomeshe (Fanya kama unadunda, aah unadunda) Mpaka chini waonyeshe (Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba) (Ii, fanya kama unadunda, aah unadunda) (Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba) Nasema sikuwatch, beiby nakukunda Unavyo ilamba mie hoi Unajuwanga kuni touch Nani kakufunda, hiyo misamba sikohoi Eeeh, waking'ata nakuuliza we Kwa jiko watenga ni kuunguza kisoi Yaani tuzidi kuwaumiza we Naleta washenga tuwaache igizo we Itafune ing'ate ka big g Aah kama big g Kisha nikumbate tujigiji Aah tujigiji Nikomeshe Mpaka chini waonyeshe Aah, asa beiby nikomeshe (Fanya kama unadunda, aah unadunda) Mpaka chini waonyeshe (Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba) (Ii, fanya kama unadunda, aah unadunda) (Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba) Ebo anafanyaje tena? Analenga, anale Anaonyesha maufundi Analenga, anale Hii, uno la mgambo kama gundi Analenga, anale Anafanya kama anapanda juu ya dari Analenga, anale Hii kameinuka kichaa kichaa Analenga, anale Eeey, brr okey (Omg is spenser)