Ayo Lizer Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho Oh, oh, mwisho Yanini kurumbana kukicha bila suluhisho Oh, oh, ohuu Wenda kisicho ridhiki Hakiliki sa ya nini tutoane roho Nimepungukiwa kipi Mbona naishi sina ata jiba la roho Na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe Niliuvumilia na sijaona tamaa Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe Ila hii dunia na najichunga sanaa Tena naandika huu wimbo Usijpe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo Kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia Naandika huu wimbo Usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo Kwenye sura ya choyo ukome kunilili, eeh Nishachoka, nishacho Nishachoka wacha ukweli nikwambie Yani kukicha vijembe (nishachoka) Dharau maneno (nishachoka) Ooh masimango (nishachoka) (Wacha ukweli nikwambie) Nimechoshwa nawe Kila donda lina historia Badala ya moto majivu Mangapi niliyavumilia Adi nikakonda kwa wivu Kipato cha jasho langu Ulikidharau na kukinyanyasa [?], kisa anasa Angalau mimi nshakuzoea Dharau mama yangu hajakukosea Huwaga navuta taswira Ule utumwa wa penzi lako Mpaka najiona taira Kuyahifadhi mabaya yako Ukimjinga pedi Unamatilapa nikapenda Upepo kwenye begi Au maji ndani ya tenga Tena naandika huu wimbo Usijpe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo Kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia Naandika huu wimbo Usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo Kwenye sura ya choyo ukome kunilili, eeh Nishachoka, nishacho Nishachoka wacha ukweli nikwambie Yani kukicha vijembe (nishachoka) Dharau maneno (nishachoka) Ooh masimango (nishachoka) (Wacha ukweli nikwambie) Nimechoshwa nawe