Imagine upo jangwani umepotea Mchana juani unatembea Utokapo ni mbali, uendapo ni mbali Mara ngamia mbebaji akatokea Nakukushusha mzigo ulio kuelemea Upate afashali pole na safari And that what you did to me Yote tisa ila kumi umenionyesha maana ya upendo Si kwa maneno bali kwa vitendo Umeridhika na nilicho nacho Vyawatu hutileagi macho Siku nikiwa, sina twalala Ooh baby twalala Aah baby before i close my eyes Namuomba mungu akulinde na akusimamie We ndio pacha wangu miee Sikuhizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Nipo busy na boo, jamani nimeshasema Nipo busy na baby na msalaba wake Nitaubeba nitaubeba nitaubeba Na nitafika nao kiume Nitaubeba nitaubeba nitaubeba Na nitafika nao kiume Imagine hujifahamu umezimia Umewekewa damu zinaingia Bomba likafunguka na huwezi hata nyanyuka Mara daktari wa zamu akaingia Umepata fahamu una mwangalia Machozi yanakuanguka unatamani funguka And that what you did to me Yote tisa ila kumi Unanifurahisha kwenye tendo Haunipi penzi la magendo Aaah baby before i close my eyes Me namuomba mungu akulinde Na akusimamie we ndio pacha wangu miee Eti sikuhizi vipi mbona sikusikii tena Sikusikii ukilia sikusikii ukisema Nipo busy na boo jamani nemeshasema Nipo busy na baby na msalaba wake Nitaubeba nitaubeba nitaubeba Na nitafika nao kiume Nitaubeba nitaubeba nitaubeba Na nitafika nao kiume