Wasafi Nawaza kwa nini sikumjuaga zamani Oh mama Pendo lake zito mpaka lavunja mizani Oh mama Yeye na mimi kachoo nisharuka nyie Oh mama Wasiojua mapenzi pole jamani Vinjali kuwa bachelor, aibu gani Aliyeumba dunia Akayaumba na mapenzi Wala hakukosea Ila mwezenu mi siwezi Nilishapenda ila nikatendwa Moyoni vidonda maskini roho Mbona nilikonda licha ya kuhonga Kuweka vibanda nishaomba poo Mwenzangu bado hujajua, baki unicheke Kwako yamechanua, ngoja yanyauke Andazi si kitumbua acha mapepe Ukipendwa tanua, kwa nini usideke? Jama nimependa mie, nimependa mie Nimependa mie nataka nimweke ndani Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie Nimetendwa mie, mapenzi sitamani Ana mapenzi ya bara kayachanganya na pwani Vipi nitajinasua Rangi kama chotara shape sio mjapani Ana shingo si vibuaa Ameumbika sina budi nisifie Akipika natamani nilipie Sehemu ya upanga uliweka kiwembe Ndo maana mwasi, akaona ajichekee Kwa wenzako sikia, sikia mwana Ila kwako utalia, utalia sana Mi likuwaga fundi, fundi zaidi yako Power ka mirundi, ikiganda kama sumako Nakutia pesa madegeree, asiniachee Nikamchanganya akolee, asiwakee Penzi upepo wa bahari, mara kusi shwari Yakichange hatari, usiombee Jama nimependa mie, nimependa mie Nimependa mie nataka nimweke ndani Mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie Nimetendwa mie, mapenzi sitamani Nimetendwa, aah Mwenzako nimetendwa Nimetendwa Nimependa mie Nimependa mie Nimependa mie Nimependa mie Nimetendwa mie Nimetendwa mie Nimetendwa mie Nimetendwa mie Wasafi Records