Ayoo Lizer Wasafi Records Aah mwenzako I feel so good kipindi nikikuona Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona Wakati unakwenda au unarudi wakata kona Nyuma ka katuni za masudi ulivyonona Eeeh, hivi unapenda wa vifua ka roboti Ama sanamu Au wazee wa kununua mwaga noti Akina sallam Ooh oh anita macho kama unaniita (aahaa) Saa sita shepu vera sidika (aahaa) Anita macho kama unaiita (aahaa) Saa sita shepu vera Ah show me, show me Show me (unavyodance) Show me, show me Show me (waonyeshe unavyodance) Aah show me (eeh) show me Show me (unavyodance) Show me (eeh) show me Show me (waonyeshe unavyodance) Umenifinyanga kama dona mmakonde na ndonya Kama mpira maradona kichuya kona Na wakisema na mawenge waambie Werrason Wakiringisha peremende nitakugawia koni Chunga kipenzi majaribu mabaya sana ooh Na wewe ndo dokta wa kunitibu niwe salama ooh Ooh baby anita macho kama unaniita (aahaa) Saa sita kiuno ka yondo sister (aahaa) Anita macho kama unaniita (aahaa) Saa sita kiuno ka yondo sister Ah show me, show me Show me (unavyodance) Show me, show me Show me (waonyeshe unavyodance) Aah show me (eeh) show me Show me (unavyodance) Show me (eeh) show me Show me (waonyeshe unavyodance) (Wasaafi) Asa mombasa nairobi (sakata dance) Kampala kigali (sakata dance) Zimbambwe kwatobi (sakata dance) Naija somali (toto sakata dance) Wanangu wa panya road (sakata dance) Chaukucha kwa sadali (sakata dance) Na unyamani biomi (sakata dance) Kizonga kwa natali (toto sakata dance) Aahaa aahaa aahaa (unavyodance) Aahaa aahaa aahaa (waonyeshe unavyodance)