Wasaafi Ayoo Laizer Hhhm hhm Ujana ni maji ya moto Yashaniunguza mi nataketea Niliwakana watoto Wangeniuguza sikutegemea Na kama dunia tambala langu lishatoboka Sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka Wale marafiki niliokula nao Na kunisifu sasa siwaoni Eti sina kiki siendani nao Kwa kuwa sina kitu mfukoni Kama pesa nilipata nikadharau Hadi wazazi Nikakesha kula bata najisahau Na kumwaga radhi Oh sina (ooh yani sina) Oh sina (wa kunipa imani) Oh sina (ooh sina mama) Ooh sina (iyeyee) Oh sina (hata wa kunifariji) Oh sina (kunipa moyo niendelee) Ooh sina (ooh sina mama) Oh sina (ooiyee) Hhmm Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia Misemo ya wahenga Family ndugu lawama sikutaka karibia Kwangu nipokee Ponda mali eti kufa kwaja (hehehee) Kumbe nivukako mbali navunja daraja Jua likizama nafsi nanyongea mawazo Nani nimpe lawama Peke yangu naongea hamnazo Kama pesa nilipata nikadharau Hadi wazazi Nikakesha kula bata najisahau Na kumwaga radhi Oh sina (ooh yani sina) Oh sina (wa kunipa imani) Oh sina (ooh sina mama) Ooh sina (iyeyee) Oh sina (hata wa kunifariji) Oh sina (kunipa moyo niendelee) Ooh sina (ooh sina mama) Oh sina (ooiyee) Pesa, pesa Pesa, pesa Pesa, pesa Pesa, pesa Pesa, pesa Pesa mfano wa poto (pesa pesa) Zinapepea sare ndo sindano (pesa pesa) Chunga yasije majuto (pesa pesa) Tena tekea igeni mifano Wasafi Records