Kipya usichojua Maana isielewe ka barani Labda ulipogundua Ukanunua kisu cha butchery We ukanirarua Leo kwako sina dhamani tena Ibada niombe dua Labda atarudi kuwa ka zamani Ooh, ooh Macho yangu yamekaa kusubiri Kwa sababu ya kukesha Na nikikesha kuna mawili Huja usije kabisa Moyoni naona dalili Pendo nalichekecha Tamu imegeuka shubiri Mapenzi yamekwisha kabisa ee Hata mi nina moyo, nina moyo Usisahau nina moyo nina moyo Ukumbuke moyo nina moyo Wenye nyama moyo nina moyo Hata mi nina moyo, nina moyo Usisahau nina moyo nina moyo Ukumbuke moyo nina moyo Wenye nyama moyo nina moyo Nina imani unavyoniliza leo Na mi kesho Mungu atanilipia Siamini mi nimegeuka kero Sina chochote cha kukupa hisia Hivi ni kweli ninayo yaona leo Au niko ndotoni? Mapenzi yamekuwa kwa leo Yananichimbiwa shimoni Macho yalalamika kusubiri Kwa sababu ya kukesha Na nikikesha kuna mawili Huja usije kabisa Moyoni naona dalili Pendo nalichekecha Tamu imegeuka shubiri Mapenzi yamekwisha kabisa ee Hata mi nina moyo, nina moyo Usisahau nina moyo nina moyo Ukumbuke moyo nina moyo Wenye nyama moyo nina moyo Hata mi nina moyo, nina moyo Usisahau nina moyo nina moyo Ukumbuke moyo nina moyo Wenye nyama moyo nina moyo (Nina moyo mama, nina moyo mama)