Imani yangu, kwake ipo Pamoja na kuumizwa kote, bado nipo Pengine yupo anayekidhi haja zake Ndo maana sina la tiba na pendo lake Nabaki nalia, najiinamia Uwezo sina wa kumwambia Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue Nikisema nilipize, aha, aha Itanigharimu maisha yangu, aha, aha Nipe nimuulize, aha, aha Ili niokoe hisia zangu Mambo shagala bagala Akizidi mi nitachizi, shagala bagala Mi nitachizi Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi Shagala bagala Akizidi mi nitachizi, shagala bagala Mi nitachizi Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi Zinanifariji ahadi zake Asemapo ananipenda Kinachonishangaza kauli zake Nimuache ametingwa Nakosa haraka amenipumbaza Najiona mi mjinga Nabaki nalia, najiinamia Uwezo sina wa kumwambia Nitoe wapi ujasiri, ajue eeh, ajue Nikope wapi ujasiri, ajue eeh, ajue Nikisema nilipize, aha, aha Itanigharimu maisha yangu, aha, aha Maybe nimuulize, aha, aha Ili niokoe hisia zangu Mambo shagala bagala Akizidi mi nitachizi, shagala bagala Mi nitachizi Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi Shagala bagala Akizidi mi nitachizi, shagala bagala Mi nitachizi Eeeh akizidi mi nitachizi, nitachizi Aha, aha Aha, aha Aha, aha Aha, aha Mambo shagala bagala Shagala bagala