Ah, ona ye pekee ndo anayetambua Yupi anasema ukweli na yupi msiri Ah, na asikwambie eti kwamba niko sawa usisikie Uwe ndo pacha kwa mbali unanikwaza Basi nihurumie marafiki wasifanye unichukie Moyo kukataza kwa mbali nawe najikaza, siyawezi Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eh-eh) (Umeniacha na nani?) Sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri (Umeniacha na nani?) Nimekuwa dhaifu inauma na roho (Umeniacha na nani?) Hata huruma hauna ah hauna ah-ah (Umeniacha na nani?) Nani ihi, ni nani umeniacha na yeye Sitaki kuwa Kobe la mchana kipitacho mbele nikakobelea tu Na hisia siwezi zidanganya, nimezama nishakuzoea boo Mapigo ya moyo yatafeli kweli, isigeuke vita karaba na kirikuu Tuliahidi si tutapendana, tutasemaheana sa mbona unaniruka we Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere Maana ni hasara, hasara ah Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere Kifuano utalala, utalala ah-ah Huwenda nasubiria ndoto ambayo haiwezi timia ila ni sawa Nitajua tu ni changamoto kweli umedhamiria mabaya Mbona nilikupa moyo utunze we unaugawa Unachoniachia ni maumivu kwenye upendo wetu (unachonipa ya kwamba eh-eh) (Umeniacha na nani?) Sasa ni nani wa kunisitiri unafikiri (Umeniacha na nani?) Nimekuwa dhaifu inauma na roho (Umeniacha na nani?) Hata huruma hauna ah hauna ah-ah (Umeniacha na nani?) Nani ihi, ni nani umeniacha na yeye Hum-hm, ah oye yeye eh Ah chinga ah, Konde Music Worldwide, ah-ah Nawaza kwa mganga nikupige ndele, moyo unaniambia niache kiherehere Maana ni hasara, hasara ah Na najipa imani we ndo wangu wa milele mi nimefall mjukuu wa Nyerere Kifuano utalala, utalala ah-ah