Wewe enh eii, uh-uh
It's Dady again

Macho yangu yanatamani kukuona
Ila moyo umegomaa
Umecheza na hisia zangu
Kumbe si fungu nilichagua koroma aah
Mi nashangaa macho yanatamani kukuona
Ingali mabaya yalishuhudia
Na kidogo nilichokua nacho ndo kilifanya ukanikimbia
Yani kama nilichomwa na mwiba ma
Maumivu yakanipa shida na

Si ungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu weh
Mana uliyoyafanya sio yakawaida ma
Je ungeniua na cha roho kijiba na
Nikajikokota uku nikimuomba mungu wangu kutwa aniponye

Sio kwa ubaya
Nimejiuguza na nimepona
Hm wewe
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafa
Nimejiuguza na nimepona

Uh yeah
Uh-uh-uh

Wenda uliwish nipitie mabaya
Moyo wako si umejenga chuki sawa (sawa)
Changu kidege umeota mbawa
Haujaniuza bure bure umenigawa
Nenda utapata anaekupenda wenda utampenda babe haaya
Mi kosa langu kukupenda ukaniona mwana kwenda haaya
Nilivyoongeza upendo mabaya ulifanya dhahiri kwa vitendo
Kumbe ziro malengo kwangu ulifollow tendo
Zile baby baby we kumbe ulinizuga tu baby
Yani kama nilichomwa na mwiba maa
Maumivu yakanipa shida na

Siungesema kama umeshiba mapenzi yangu mapenzi yangu we
Maana uliyoyafanya sio yakawaida ma
Je ungeniua na cha roho kijiba na
Nikajikokota huku nikimuomba mungu wangu kutwa aniponye

Sio kwa ubaya ah yah, yah
Nimejiuguza na nimepona
Nimepona nimepona eh
Nimejiuguza na nimepona
Mi mzima wa afya
Nimejiuguza na nimepona
Yanilitesa ila sijafa
Nimejiuguza na nimepona
Ah nimepona

Ah Chinga, Konde Music Worldwide, yeah
Uh lalah, uh lalah
Nimepona ah

It's Dady again
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK