Oh nah, nah Subira imeniponza, natokota Kwote kupambana tatu bila Langu penzi tamu tamu, wameliokota Eh moyo ukauwacha na malenge lenge Umeota vidonda eh Nimefuba hali ni shiwenge Wivu nakonda Anipita mbali kama kigege Aniacha hoi mi mlege lege Nadharaulika ananiona bwege Oh inauma Kama asali nishapokonywa masege Kaniachiaga homa ya dege dege Leo mlezi bichi mi wa mla ndege Hakumbuki nyuma Tena sikudhubutu Kumfanya ajutie kunipenda Niliamini wa milele daima Daima Kwake sikuaga zumbukuku Japo yangu ya kitochi, alimulikiaye Anavyoiweka kando inaniuma Inaniuma Eh yangu akili Ameichanganya changaya, ameidanganya Hakuna tena siri Ameichanganya, moyo ameugawanya Ye kumbe alipita kunusa Ameichanganya Penzi amelipangusa, lipangusa aah Aah nalia (Skibii) Baby no bi moto But you got me crazy gani Now I can't get you off my eeh Can't get you off my eeh Umeniachia kidonda kidonda Mi mwenzako ninakonda Kidonda kidonda Skiibii Mayana nakonda Baby na seh bend love you gani o Ma enjoy my money I go stop by your side bi gani I wish you treat me right I wish you do me right I wish you do the right My heart is beating I love you darling Yangu akili Ameichanganya changaya, ameidanganya Hakuna tena siri Ameichanganya, moyo ameugawanya Ye kumbe alipita kunusa Ameichanganya Penzi amelipangusa, lipangusa aah Aah nalia