Sasa naapa hakuna miungu n’taamini Satajitia unajisi, chakula cha ufalme Na sitauza urithi wa wokovu, anasa za kisasa Nina uhakika waweza, waweza kuniponya Hata usipo niponya, sitaabudu masanamu Naelewa maji na moto nitapita Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe, sitaogopa kamwe Mungu wangu, wanishika mkono Wautuliza moyo wangu Sina mashaka, wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Sasa naapa hakuna miungu n’taamini Satajitia unajisi, chakula cha ufalme Na sitauza urithi wa wokovu, anasa za kisasa Nina uhakika waweza, waweza kuniponya Hata usipo niponya, sitaabudu masanamu Naelewa maji na moto nitapita Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe, sitaogopa kamwe Mungu wangu, wanishika mkono Wautuliza moyo wangu Sina mashaka, wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Si Mara ya kwanza kunitoa katika magumu Nina ushuhuda: Zaidi ya moja, we ni mwaminifu Nina historia maalum, we ni chemchem’ ya uzima Si Mara ya kwanza kunitoa katika magumu Nina ushuhuda: Zaidi ya moja, we ni mwaminifu Nina historia maalum, we ni chemchem’ ya uzima Si Mara ya kwanza kunitoa katika magumu Nina ushuhuda: Zaidi ya moja, we ni mwaminifu Nina historia maalum, we ni chemchem’ ya uzima Naelewa maji na moto nitapita Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe, sitaogopa kamwe Mungu wangu, wanishika mkono Wautuliza moyo wangu Sina mashaka, wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini Nitaamini, bado nitaamini Ulichosema nami, Yesu we Nitaamini Wewe ukiyajibu maombi yangu, nitakwamini Hata usinijibu, Yesu we, nitakwanini Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini Hata usiniponye, bado nitaamini Ukinijibu, nitaamini Hata usinijibu, bado nitaamini Ukibadilisha, nitaamini Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu Nitaamini, bado nitaamini Ulichosema nami, Yesu we Nitaamini Wewe ukiyajibu maombi yangu, nitakwamini Hata usinijibu, Yesu we, nitakwanini Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini Hata usiniponye, bado nitaamini Ukinijibu, nitaamini Hata usinijibu, bado nitaamini Ukibadilisha, nitaamini Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu Nitaamini, bado nitaamini Ulichosema nami, Yesu we Nitaamini Wewe ukiyajibu maombi yangu, nitakwamini Hata usinijibu, Yesu we, nitakwanini Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini Hata usiniponye, bado nitaamini Ukinijibu, nitaamini Hata usinijibu, bado nitaamini Ukibadilisha, nitaamini Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini Nitaamini