Shaa Mama aliniita kidawa Kweli kwako nimekuwa dawa Umwa nikuponyeshe lazizi Umwa nikuuguze mpenzi Wewe kwangu kama shampaign Kwenye sherehe nikufungue wewe Karibu kwangu kama mgeni Ukae kwenye pango moyoni Yoo Kwako nimefika mwingine, mi simtaki mama Malengo yangu kuwa nawe, mi nasema Niko tayari kujifunza ma, staki feli na Haijalishi mi wa kwanza situfike mbali (mbali) Juu ya vikwazo kwenye penzi Tulale njaa, labda mipango ya Mwenyezi Mi ndo ntakuwa makini, juu ya penzi lako Nitapigana kuhakikisha, naitunza hadhi yako U-u unavyoshine napagawa mi mtu mzima ma Colour unavyo-combine, unamelemeta ma Designer gani kaku-design, you look shallow tina tina bey Ooh, you look shallow tina tina Sema lunch twende wapi? Mi nataka we u-enjoy Ma baby ndani ya Versace, mnyamwezi Suit n' Tie Kitandani ofisini kwangu, vile tuna Do Biz na wewe Mradi baby we upagawe Shaa Mama aliniita kidawa Kweli kwako nimekuwa dawa Umwa nikuponyeshe lazizi Nasema umwa nikutulize mpenzi Wewe kwangu kama shampaign Kwenye sherehe nikufungue wewe Karibu kwangu kama mgeni Kwenye pango moyoni Shaa Mimi niite kidawa mama yoyoo-hoo We kwangu ndo baba yoyoo-ooh Waacha ntulize moyo ooh Tusiogope vimbwanga vyao ooh Kama kupendwa napendwaga Nimetuliaga nayo Ndo sababu ilokufanya u-match na mie aah Yoo Twende bafuni tukaoge, nikusafishe body yako Taratibu tu kwa hisia, nikipapasa maungo yako Raha mkipendana, nakupensa mpaka basi Siogopi mapedeshee, mi kwako sina hata wasi Woga siku zote hufeli, uoga kwangu sitauruhusu Umejaliwa tabia nzuri, uko full siyo nusu nusu Jambo jema tutafika tutakapo na Ni raha watu wakisema you guys make a good couple Tushakula kiapo labda kifo kitutenge Sio vijisenti bey, muulize Chenge Bina twende wapi, mi nataka we u-enjoy Ma baby ndani ya Versace, mnyamwezi Suit n Tie Tabasamu ni fursa si kwetu mwiko kugombana Furaha huleta amani ya nini kulumbana Mapenzi tuishi sisi sio kuiga ama ku-beg love Twende ufukweni tu-make love mida ya sunset Shaa Mama aliniita kidawa Kweli kwako nimekuwa dawa Umwa nikuponyeshe lazizi Umwa nikuuguze mpenzi Wewe kwangu kama shampaign Kwenye sherehe nikufungue wewe Karibu kwangu kama mgeni Ukae kwenye pango moyoni Shaa Mimi niite kidawa mama yoyoo-hoo We kwangu ndo baba yoyoo-ooh Waacha ntulize moyo ooh Tusiogope vimbwanga vyao ooh Kama kupendwa napendwaga Nimetuliaga nayo Ndo sababu ilokufanya u-match na mie aah