Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchagua wewe Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia Kukuoa inanibidi, kwa kila hali ma umenivutia Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja Unajua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe Basi usinikuzishie kidonda, wakati wajua dawa ni wewe Unajua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe Basi usinikuzishie kidonda, wakati wajua dawa ni wewe Ntapata mi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa Kiangazi hata mvua za masika, nikikukosa jua ntaweweseka Ntapata mi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa Kiangazi hata mvua za masika, nikikukosa jua ntaweweseka Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja Naamini unanikumbuka, hizo dharau uloleta Kama tunda limeshawiva, tulibandue maganda Fikiri, kumbuka tulipotoka Mama wee, dada wee, unanitesa sana Mama wee, dada wee, mbona unanichanganya? Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi Mimi ni yule yule tulosoma wote kidato kimoja