It's been a loong, long, long, long time (Paddy producer, audio one, come in) Bila valu valu baby Naomba mi na wewe tuwe Achana valu valu darling, naleli na lelio Siina valu valu baby Nataka mi na wewe tuwe Achana valu valu darling, je t'aime, je t'aime je t'aime Kutoka tulipo kutana Sija wai kufikiria tuta'achana Lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana Upendo gani na sikuoni baby Upendo gani hupatikani honey Upendo gani huniamini baby? Valu, valu, valu Upendo gani na sikuoni baby Upendo gani hupatikani honey Upendo gani huniamini baby Valu, valu, valu, valu, valu Uliemyafuta ulisha pata Anaekupenda sana kweli usiwai kata Mimi na we, twende wote kwote unataka Tukae, tule, tunywe ujue mi nilisha data Wasikudanganye eti sina uwezo Ninao, na sio mchezo Mbona kunipa mawazo Hamua, hamua, hamua baby Wasikudanganye eti sina uwezo Ninao, na sio mchezo Mbona kunipa mawazo Hamua, hamua, hamua, valu, valu, valu Moyo wako ufungue Upendo wa ukweli uje uingie Nacho omba kama niko na wewe Utaratibu pekee baby tuendele Mimi na we, tuwe wote mileli Mimi na we, mileli na mileli you ma baby Mimi na we, nijali nami nitakujali Mimi na we Mimi na we, tuwe wote mileli Mimi na we, mileli na mileli you ma baby Mimi na we, nijali nami nitakujali Mimi na we oh, na wewe