Baby there is something about you Let's talk about love Let's talk about trust Kwako nimezama, nimechizi Nivute kwako aah Me niwe wako Mapenzi yangu kwako me naridhia Baby nipe yote asilimia Penzi lako hunny nakwamia Napenda navyojua wanidekeza Haswa unavyonibebeleza You me me fall in love When you hold me tight Nimenoga kwako wee Napenda navyojua wanidekeza Haswa unavyonibebeleza You me me fall in love When you hold me tight Nimenoga kwako wee Kwako sitoki aah aah Nimezama sijiwezi Kwako sitoki ooh aah Nimezama sijiwezi [Arrow Bwoy] Dem call me Arrow Bwoy My angel sent from heaven Natural beauty God given The way you light up my whole world Girl you make me go gaga Ah, ninapopiga roundi nashindwa zawadi gani nikubuyie beiby To put up a smile on your face, wewe ni wa dhamana Na nikirudi nyumbani, nashindwa nyimbo gani nikuimbie beiby Embe dodo, embe dodo my darling Am the one who gon' die for you Spend all my money pon you My beiby pon you (I say my beiby pon you) We do the digi digi with you Spend all my life with you Oh, kwako nimezama mi sihami my beiby Kwako sitoki ooh, yeah Nimezama sijiwezi Kwako sitoki (mama sitoki) Nimezama sijiwezi Nataka weii Nataka unipende Nataka unipende weeii Nataka weii Nataka weii Nataka unipende Nataka unipende weeii Nataka weii Napenda navyojua wanidekeza Haswa unavyonibebeleza You me me fall in love When you hold me tight Nimenoga kwako wee Napenda navyojua wanidekeza Haswa unavyonibebeleza You me me fall in love When you hold me tight Nimenoga kwako wee Kwako sitoki aah aah Nimezama sijiwezi Kwako sitoki ooh aah Nimezama sijiwezi Kwako sitoki aah aah Nimezama sijiwezi Kwako sitoki ooh aah Nimezama sijiwezi Nataka weii Nataka unipende Nataka unipende weeii Nataka weii Nataka weii Nataka unipende Nataka unipende weeii Nataka weii Dem call me ArrowBwoy