Hello, habari gani? Hello oh ooh, unaitwa nani? Hello, uko gizani? Hello, kuna tatizo gani? Basi we nieleze Palipokaza nilegeze You're so beautiful baby Ah huendani na mawazo mama Huwezi kushindana na moyo wako Usijiumize aah Mimi sio mbaya wako Nisikilize Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Kushindana na moyo wake Bado yupo yupo kwanza (no, no) Bado yupo yupo sana (eh, yeah) Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Bado, ah nah nah nah nah Hana ulinzi wa moyo tena aah Wake uaminifu umekufa mazima aah Mapenzi yamefanya asile Mapenzi yamefanya asilale Chochote nachomwambia bure Anaona nampigia kelele Ila ati anashukuru Mungu Alipofika panatosha Ata na mzigo mzito wa mapenzi Ameutua amepumzika Yaani hataki tena Bado mapemam Hataki tena Vurugu za mapenzi zimemchosha Huwezi kushindana na moyo wako Usijiumize aah Mimi sio mbaya wako Nisikilize Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Kushindana na moyo wake Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Bado yupo yupo kwanza Bado yupo yupo sana Anataka awe peke yake Peke yake, peke yake Hana ulinzi wa moyo tena aah Wake uaminifu umekufa mazima aah