AM Records Haba Kwanza kabisa thanks to the Lord (to the Lord) Uzuri wako si wa kudownload (wa kudownload) Unanishangaza kila siku mi sichoki Mwingine kama wee mi sitaki Wewe ndiyo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mami Nikuweke tu kabisa ndani Kwangu wewe ndiyo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mami Ni wewe tu, tu baby, wewe I'll give you everything yeah I'll give you everything (Unanivuruga eeh, unanivuruga) I'll give you everything darling I'll give you everything (Unanivuruga eeh unanivuruga) Nitafunga moyo wangu sitoki Funguo nikukabidhi wee (I'll give you everything) Nitakupa moyo wangu na noti Chochote unachotaka wee (I'll give you everything) Ah ya, yaa Ah, yaa, yaa, yaa, yaa, yaa Una rangi ya chocolate Magnetic, romantic Jinsi ulivyo humble baby so sexy Wanivuta zaidi Kurudi nyumbani late mi sitaki (Kurudi nyumbani late mi sitaki) Sababu nina wivu moyoni ukiwa mbali (Sababu nina wivu moyoni) Wewe ndiyo fimbo yangu baby Ongeza raha zaidi mami Nikuweke tu kabisa ndani Kwangu wewe ndiyo burudani Wewe kiboko yangu baby Ongeza utamu zaidi mami Ni wewe tu, tu baby, ni wewe I'll give you everything yeah I'll give you everything (Unanivuruga eeh, unanivuruga) I'll give you everything darling I'll give you everything (Unanivuruga eeh unanivuruga) Nitafunga moyo wangu sitoki Funguo nikukabidhi wee (I'll give you everything) Nitakupa moyo wangu na noti Chochote unachotaka wee (I'll give you everything) (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Unanivuruga my mama (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Unanichanganya, yaani sioni sisikii (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Yaani siwezi, mama siwezi Unanivuruga eeh (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Yaani mimi kwako sisikii baby (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Yeah (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Unanivuruga (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga) Unanichanganya changanya (Unanivuruga eeh, unanivuruga vuruga)