Kwenye love niko fofofo Umenidatisha wewe mtoto Napiga mbizi maji ya ugoko Baridi unanipa joto Ooh baby don't let me go, don't let me go Ai najua dhamani yako Just let me know, just let me know Ai Mimi sitaki ubaki peke yako mama Aah, aah, aah Sitaki wewe kuumia Aah, aah, aah Ado ado mama ado ado Aah, aah, aah Sitaki wewe kuumia Aah, aah, aah Eeeh Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I've never seen before Mama, mama, mama Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I've never seen before Mama, mama, mama Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Yaani kama ta mama Wewe umenizimaga Ila, na watu wanashangaa Kitu gani mi nakupaga Na mizigo yote nimeshaitua Nimefika mwisho wa reli Kigoma Uzuri wako wote wanajua Mtoto umenyooka kinoma Aah, aah, aah Haa wabishe wakatai Aah, aah, aah Hayani mi nyanya nyanya Aah, aah, aah Sijiwezi mama sijiwezi Aah, aah, aah Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I've never seen before Mama, mama, mama Kasura kako kanaumiza roho Mama, mama, mama I've never seen before Mama, mama, mama Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Wacha wakukodolee macho Wakukodolee macho Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni Iko kibindoni waite, kibindoni