Lalah lalah lalah
Lalah lalah lalah
Ei eih
Lalah lalah lalah
Lahlah lalah lalah
Lalah lalah lalah
Lahlah lalah

Sifa kibao nishasema
Yote sababu nimezama
Uzuri wako ndo unazidi nipa homa
Haki ya nani mi nitakatia bima
Mi sisikii napata raha
Nitasubiri more honey
Na sioni, baby karaha
Long time nimedata nawe

Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you

Baby mami, jina gani ni sawa
Nikuite nani, darling
Tell me, kwako ikawe dawa
La, la lala lala
Lala lala lala
La, la lala lala
Lala lala lala

Kama zawadi nitakupa dunia
Uitawale mama we (he yeh)
Mfano wa bahari juu mamii naelea
Nimejifia kwako we (he yeh)
Ukamilishe uzima wangu
Ukamilishe na nyumba yangu
Ukawe amani ya moyo wangu milele eyei yei

Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you
Wajua kwako mi mtoto tu
Na jina lako nitachora tattoo
Ushanifit changu kiatu
Wajua baby vile I love you

Baby, mamii jina gani ni sawa
Nikuite nani, darling
Tell me, kwako ikawe dawa
La, la lala lala
Lala lala lala
La, la lala lala
Lala lala lala

Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe
Nakudhamini mimi
Mboni yangu ina jina lako wewe
We jela yangu nimejifunga mwenyewe
Watose wote sitopenda uchezewe ehee

Baby, mamii jina gani ni sawa
Nikuite nani darling
Tell me, kwako ikawe dawa
La, la lala lala
Lala lala lala
La, la lala lala
Lala lala lala

Aah aha ah
Mmh mhh
Eiye eiyeh mmh mhh
Yeah, I love you baby
It's your boy African boy
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK