S2 Kizzy, baby Simsima, toto mpe funguo za bima Anitoa Bongo nimefika mpaka China toto Zipuka kishungi nimezima Amenipa lunch nimekula mpaka dinner yeah Santana santana Kitandani maji maji yanapambana Kanainama kanainama Kanavyoiokota kama ua sama Wakali kwili kwili sikopeshi (sikopeshi) Namlipa mbili mbili sina breki (sina breki) Nakadudisha mwili kitenesi (kitenesi) Kamenikiri kiri mara kesi Asa nionyeshe alichokupa mama Sugua, sugua, sugua Sugu sugu sugu (mama wee) Sugua, sugua, sugua Sugu sugu sugu Utapenda pini pini ama kitaka Nikupe kwa chini chini ama kwa ngoko Ngweli sabini bini ama kimako Chenga mwilini lini Jonny Boko (Brr okey) Udi Udi udi udi (udi) Katoto kako gudi gudi gudi (gudi) Mudi mudi mudi mudi (mudi) Navyokatafuna kama fudi Oyaa, katoto dosalale (eeh dosalale) Nakapa fishi kambale (eeh kambale) Kibidu bidua (ooh bidua) Pindu pindua (ooh pindua) Yaani nakachimbu chimbua (ooh chimbua) Nambandika bandua Ooh dada de yaani kama gaga limekwama kwenye guu Sugua, sugua, sugua Sugu sugu sugu (mama wee) Sugua, sugua, sugua Sugu sugu sugu Baby, wakiweka unaweka (weka hatuoni) Ukichomoa unachomeka (weka hatuoni) Weka weka weka mpaka down (weka hatuoni) Komesha watoto wa town (weka hatuoni) Weka kama unasusa (weka hatuoni) Nisogezee kisambusa (weka hatuoni) Weka weka weka mpaka down (weka hatuoni) Nikomeshee watoto wa town (weka hatuoni)