Vee Money on the track yeah (Its S2kizzy baby) Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii? Kila stori ninayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa ninii? Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti Belong to you, belong to me baby Ananivuta vuta kama magneti Duu na duu na duu na duu baby Ananivuta vuta kama magneti Yeah, yeah, yeah Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do, ooh, yeah Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku Baby please, tell me you want more What you like about the feeling? Honestly, I wanna show you am feeling you too Lemme take you to a nice place, tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote, upate raha Am caught up in you and am tempted to stay up For sure Nipepee (ooh baby) Nikikuona nazubaa (ooh baby) Ooh baby (ooh baby) Ninapandwa na kichaa (ooh baby) Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you baby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do baby Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you baby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do for you Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku, sumaku Sumaku, sumaku, sumaku Anatuvua Kila akitupa nyavu (anachukua) Aah visenti vyetu vyote (anatuvua) Aah mama kila akitupa nyavu (anachukua) Hatutoki eeh (anatuvua) Aah-ah akitupa nyavu (anachukua) Yaani visenti vyetu vyote (anatuvua) Mama mama ma (anachukua) Yee ye ye ye ye