Yeah (ok) Shawty, Let me talk to ya (S2Kizzy baby) Ehh nisipo kula na wewe ungwanja Saa ntakula na nani sinaga uwo ujanja kwako Ninjengo sote na kibanda Awali side chicks wote walishasanda kwako Kula ndizi bila maganda Muhanga mi nishajitoa kitambo sikazi kwako Kwa mungu na si kwa mganga Njoo tupige goti baraka zimetaanda hapo Nsipokupenda wewe ntampenda nani (hum) Leo kazi sina nina kazi nyumbani (yeah eeh) Ntapika ulee wangu wa ndani (hum) Na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama (ooh woa) Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh baby Lushoto milimani Usijali kwani pesa kitu ganii Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh baby Lushoto milimani Usijali kwani pesa kitu ganii Tell me something Tell me something Tell me something Tell me something, baby Naacha mambo yote maana najiskia mfalme njinii Unanipa vitu vingi hata sijui nikupe ninii Tuna mali tuna Mungu napia tuna nia Tuna ishi ndoto zetuu wakitushuhudiaa Na unanifaa, moyoni umenikakaa kama nini Pale na jikwaa, mauni achii niende chini ooh woa Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh baby Lushoto milimani Usijali kwani pesa Kitu ganii Twende jambiani au twende Serengeti mbugani ooh baby Lushoto milimani Usijali kwani pesa kitu ganii Tell me something (Niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu) Tell me something (Niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu) Tell me something baby Twende, twende, twende