Abbah! Mlio ukicheka wee Mi moyo unanitabasamu Huyo mwenye kujihisi mwororo Ila ukilia we Hata kula nakosa hamu Huo mwenye kujihisi dororo Ukiwa karibu na mie, najiona bora Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma Uwepo wako na mie, umetia fora We ndo dakitari, darling nikutaka pona Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Sitamani mwingine Wala sidhani ka ataweza kutokea Maana mambo yako moto Moto moto Labda uvito shetani mwingine Maneno ya watu nishazoea, I don't care Kila kukicha choko choko Choko choko Unavyonipa raha Tu nanenepa mie Penzi lako natinga, naringa nambembea eeh Kinachokufaa usisite niambie Kwako niko radhi Hata zege nibebe, machinga ninadishe Ukiwa karibu na mie, najiona bora Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma Uwepo wako na mie, umetia fora We ndo dakitari, darling nikutaka pona Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza For love, for love For love, for love I do it for love Unaniweza weza