Unaweza kupenda Tena bila sababu Ndo maana sijutii Kukutana na wewe Mapenzi ni kitambo Toka enzi za mababu Ndo maana sijutii Kukutana na wewe Upofu wako sio tatizo Uwepo wako kwenye matatizo Aah tabia zako jinsi ulivo Huruma wako, oh, baby Nywele zako beiby, sura yako Kucha zako mama rangi yako Mwendo wako darling, shepu yako Zinanibamba wewe aah Pozi zako mama maringo yako Unanidatisha michezo yako Kiuno chako unaweza Hey natamani ungejiona, hey Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Ungeona mama Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Natamani ungejiona hey Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Ooh we ni mzuri Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Kuna muda unatamani unipikie chakula (Kibaya hauwezi) Kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa (Kibaya hauwezi) Kuna muda unatamani tutazame movie wote (Kibaya hauwezi) Hakuna muda unatamani uione sura yangu (Kibaya hauwezi) Siwezi kuacha njiani We ndo wangu maishani Na wengine sitamani Hata kama hauoni We ndo wangu tele Wengine sitamani Unanipa raha tele Umenikaa moyoni Nywele zako baby, sura yako Kucha zako mama rangi yako Mwendo wako darling, shepu yako Zinanibamba wewe aah Pozi zako mama maringo yako Unanidatisha michezo yako Kiuno chako unaweza Hey natamani ungejiona hey Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Wewe ni mzuri Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Ah, ah jinsi ulivyo mama Jinsi ulivyo mrembo, jinsi ulivyo mrembo Your loving, your loving, your loving Nafurahia Your loving, your loving, your loving Ah wewe ni mzuri Your loving, your loving Nafurahia Your loving, your loving Yeah nafurahia