AM Records Eiyeh Niamini leo hii Sitamani mwingine tena Kazi zangu mishemishe Nitarudi nyumbani mapema Unachonipa baby, sitokaa nikuumize Na zile raha unazonipa, wewe Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu We tabibu, unanipa raha Unavyokata na kunipa taratibu Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu We tabibu ila ilaa Husije fanya visa mina wivu Na moyo utaniumiza mina wivu Na hofu watakuteka mina wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu Naandika ngoma ya mapenzi nakuona wewe Na vinanda vya bob vya bembeleza Nishagoma kwingine, kwako nipewe Umeniteka mazima nimelegeza And everything I do for you Is from my heart as you know Na kila siku mimi Napambana we ubagamee Napenda unavyokata na kunipa taratibu Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu We tabibu, unanipa raha Unavyokata na kunipa taratibu Mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu Nikikushika unanitazama unaona aibu We tabibu ila ilaa Husije fanya visa mina wivu Na moyo utaniumiza mina wivu Na hofu watakuteka mina wivu Sitaki nile mbichi wao mbivu