Zinanikota goosebumps nikisikia jina lako Me ninaweuka kabisa me ni chizi wako Nakama ni mganga eeh, mzuri huyu mganga wako Sio kwakunipumbaza hukuu baby mmmh Mummy ongeza ubuyu nizidi ku umumnya eeh Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh Baby ongeza ubuyu nizidi ku umumunya eeeh Tena na sukari guru utamu nikitafuna eeeh mmh Kama ni pilipili maaa Acha ukali me niusikie Kama ni vita mama Acha adui wanivamie Kama we ni asali maaa Acha na nyuki wanivamie Lakini penzi lako baby Hata kidogo lisipungue No, no, no Zaidi, zaidi, zaidi, zaidi mmmh Nipe nipe zaidi, zaidi, zaidi Wewee zaidi, zaidi, zaidi Wewe nipe zaidi, zaidi, zaidi Aiyaiyayaya, aah Aiyaiyayaya, aah Nayosha mikono juu kwako me nime-surrender Naona maajabu sungura Kazidiwa ujanjaa Nimekua zuzu zu zu zu zu Nimekua bubu bu bu bu Nimekua mbumbu mbum bu baby eeh Nimekua zaidi ya nyumbu Sioni sisikii Sioni sisikii baby Kama ni pilipili maaa Acha ukali me niusikie Kama ni vita mama Acha adui wanivamie Kama we ni asali maaa Acha na nyuki wanivamie Lakini penzi lako baby Hata kidogo lisipungue No, no, no Zaidi, zaidi, zaidi, zaidi mmmh Nipe nipe zaidi, zaidi, zaidi Wewee zaidi, zaidi, zaidi Wewe nipe zaidi, zaidi, zaidi Aiyaiyayaya, aah Aiyaiyayaya, aah Mummy ongeza ubuyu Nizidi ku umumunya eeh Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeeh Baby ongeza ubuyu Nizidi ku umumunya eeh Tena na sukari guru Utamu nikitafuna eeh hmm