Attention please Oya Trump nipe visa Bill Gate nipe pizza Iwe kama miujiza Acha waseme ni nguvu ya giza Nasali mpaka nina sigida Sina rafiki, sina ndugu Dar Mangaluka mlichiza Mandilaga wiza Nafumba macho navuta hisia Naona dollar zinaning'inia Nimechoka kusikilizia Acha nisafiri ata kwa maji kama kinikia Ata kibishi nitazamia Hata ndege nitandandia Siwezi sema nitachikichia Lazima nirudi maana bongo nina familia Usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda Ninataka, ninataka ninataka Ninataka kwenda America, yeah Yaani nataka, nataka, nataka Nataka kwenda America, yeah Bado nasubiri asali Ninasubiria safari Bwana snitch kaa mbali Mwaga mboga nimwage wali Moyo unakwenda mbio mbio kama pikipiki Ma Yuda wangu watakoma dili likitiki Yeah, yaani watapata taabu sana Wale walionifanya kutubu mwaka jana Hebu Trump nipe visa Bill Gate nipe pizza Na nimepanga kulipiza Na nimejiapiza Naona kama miujiza Naona nimewamaliza Usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda Ninataka, ninataka ninataka Ninataka kwenda America, yeah Yaani nataka, nataka, nataka Nataka kwenda America, yeah Am black don't shoot me I have a dream don't kick me Am a Martin Luther King Love one another For the future of human being Let me see Kilimanjaro Serengeti, ngorongoro Na mikumi ya Morogoro Ila acha niende nikasake kama mwanapolo Ninaipenda Tanzania Nchi yangu najivunia Mzalendo mwenye nia Nitarudi kusalimia I wanna come to America I wanna visit America I wanna hurry in America I wanna live in America Usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda usinifuate, acha! Mi nataka kwenda America, acha! Mi nataka kwenda Ninataka, ninataka ninataka Ninataka kwenda America, yeah Yaani nataka, nataka, nataka Nataka kwenda America, yeah Acha! Acha! Acha!