Kama umeshindwa pokea Hisia zangu nilizokwambia Umenipa maumivu Kisa mapenzi mi nakwambia Siri si siri tena Maana nafsi inaniumbua eh Ata nikisema nifiche Machozi yananiumbua eh Salama si tulizo la moyo Ukweli ni jambo jema La kupokea kuna maumivu yake Mmh Salama ni la moyo Ukweli ni jambo jema La kupokea kuna maumivu yake Upendo kutendwa Mapenzi yamefika ukingoni Mie mjinga sikurogi kwa ubani Bye wewe, bye wewe Bye wewe, bye wewe Sikatai ulichoniambia Japo ukwasi itanisumbua Asili ya macho daima kulia Maumivu nitayavumilia Najua shida Ndo mwanzo ya raha Mapenzi huchezwa na star Umesepa na yangu furaha Salama si tulizo la moyo Ukweli ni jambo jema La kupokea kuna maumivu yake Mmh Salama ni la moyo Ukweli ni jambo jema La kupokea kuna maumivu yake Upendo kutendwa Mapenzi yamefika ukingoni Mie mjinga sikurogi kwa ubani Bye wewe, bye wewe Bye wewe, bye wewe Jua la utosi Lina kitanzi machoni Penzi hekalu la roho Mulika macho Jua la utosi Lina kitanzi machoni Penzi hekalu la roho Mulika macho Upendo kutendwa Mapenzi yamefika ukingoni Mie mjinga sikurogi kwa ubani Bye wewe, bye wewe Bye wewe, bye wewe