Hawana wema wanadamu Wana fitina wanadamu Wanadamu, wanadamu Wana hamu ya kutudhulumu Hauishi hamu penzi litadumu Kwa nguvu za Karima, daima dawamu Hauishi hamu penzi litadumu Kwa nguvu za Karima, daima dawamu Hawana wema wanadamu Hawana jema wanadamu Hawana wema wanadamu Hawana jema wanadamu Habibi wangu muhimu Sogea nikupe raha Kukusalimu nina hamu Vipi ulivyoamka? Ni mzima mahashumu Mmefurahi bila shaka Haishi yangu hamu Mapenzi sijatosheka Kato sitokudhulumu Mwenzio nakutaka Tulia wangu muhangamu Kwenye huba umefika Raha zangu mie tamu Mapenzi ya pata shika Na wala sitokulaumu Nitakupa sitochoka I love you, baby I love you, baby I love you, baby I love you, baby Tutulie ili tuwaonyeshe Washuhudie wapate kasheshe Tutulie ili tuwaonyeshe Washuhudie wapate kasheshe Nakupenda kweli kweli Nakuzimikia kweli Nakupenda kweli kweli Nakuzimikia kweli I love you, I love you I love you, I love you I miss you, I miss you I miss you forever and ever Mpenzi kuwa timamu Uko nje ukitoka Watu hali ya hakimu Na wao watalitaka Wivu kwako ndio sumu Siwahi kukuepuka Kwangu wewe ndio mtamu Robo hawakufika Mimi sitokudhulumu Wakitaka, sitotaka Hutonitia wazimu Nishazowea kudeka Utanitia wazimu Uko nje ukitoka Pendo lataka nidhamu Usiwape waja kucheka Utanitia wazimu Nishazoe akudeka Pendo lataka nidhamu Usiwape waja kucheka Kukupenda nilazima Wewe wangu natamka Wasikutie wazimu Hakuna nilomtaka Na mimi sikulaumu Kupendwa ndo nataka Na yanhu yalazimu Sisemi siri naweka