OG, eey Say leave me alone Ka hauna mpango ama form Usinipigie simu, don't be calling on my phone Leave me alone If you can't keep up with the Jones I'd rather ukae mbali, don't be coming to my zone Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Mnabambika na vako, zile nyi husoma mpasho Ile idhaa niko hustle, mi nikipanguza jasho Mnaeneza udaku, ndio muongezwe za macho Lakini na kula kichapo, kofi, soki na kahasho Tangu niende commercial, nimekuwa controversial Ngori zile niko nazo, zimeniletea vikwazo Mahater wanakaza matako, but OG anakazanga muscle So usidedi na mawazo, ju kama si yako ni yako Na you cannot be on my circle, Omollo, Odinga, Obako Presenter anaringa na Passo, utadhani amenunua Rav4 Mashow mi hupiga kila sato, design ya Tracy na Mato Si ndio hukuja ruracio kuotea soda na chapo Nina mbogi ya ushago na manyako wanani thago Nina jeshi ya kina Zzero na zimewashikia Dago Mi hushindaga na kina Wambo kwa ile kibanda ya Pango Tuko juu ya reggea Kanambo na tuko rada ya makanjo Say leave me alone Ka hauna mpango ama form Usinipigie simu, don't be calling on my phone Leave me alone If you can't keep up with the Jones I'd rather ukae mbali, don't be coming to my zone Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Eey Unataka kunipimia life as if huwaga ni fare (fare) Mpaka watoto wa juzi sai jo wanani dare (how?) Hii maisha ni kuishi vile unataka ama ni jea (iyee) So sitaki nizame na stori za pressure ka Natalie Tewa (nop) Mtaa mi huwanga ni mayor (aah) Kwa teli ni mi huwa na air (eey) I know you will think it ain't fair (ha) But my nigga we never care (nop) Siri ni kunyenyekea ndo ujue ni wapi unaelekea So kuanzia leo jua mi na declare that lazima ngoma zitaenea Mnapenda kunibother, kunichafulia rada (staki) Huku mimi najikaza (staki), sauti yangu mimi napaza Beat nikipewa unajua namada Bongo, ghapuka, genge ama rada Tangu wajue siku hizi mi ni baba Shore wangu wako chini ya waba (waba) Ni mimi ndo wanapenda kutupia lawama (woo) Ju sai natengeneza pesa na wao hawana (staki) Hakuna kitu ya bure buda ni kukazana (iyee..) Ju leo jo watakucheka, kesho ni karma Say leave me alone Ka hauna mpango ama form Usinipigie simu, don't be calling on my phone Leave me alone If you can't keep up with the Jones I'd rather ukae mbali, don't be coming to my zone Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Nasiwajui (siwajui) Siwatambui (siwatambui) Leo na piga mtumba na kesho nitapiga Lui Na haikuhusu, yangu maisha Leo bonga chafu kesho nitakunyamazisha Everyday we on, now you in my zone Na kama hauna mpango, just get out about my phone Knock with the game, so I suggest you down Bring me all the bullshit, just leave me alone Hahaha, yeah I do the vibe and the bitch coded All of you niggas is distorted Legendary nigga reach border Kama unaitaka kama Kipchoge Maisha yangu haiwahusu Nyi manyoka nawashuku Nawapiga marufuku (brr) Mi nikipiga tu looku Nasema siwatambui, hiyo ufala haikui So kama wewe ni adui, leo utajua haujui Nimesema siwatambui, hiyo ufala haikui So kama wewe ni adui, leo utajua haujui Say leave me alone Ka hauna mpango ama form Usinipigie simu, don't be calling on my phone Leave me alone If you can't keep up with the Jones I'd rather ukae mbali, don't be coming to my zone Leave me alone, leave me alone Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, achana na mimi Leave me alone, leave me alone Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, wachana na mimi Leave me alone, wachana na mimi