Bryan Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Oh, oh, oh Okay Siwezi wadanganya, me sikua poa na my father Nilijionea kwa macho zangu aki-disagree na mother Kifaranga itakua jogoo, huonekana yai ikitagwa I was a kid in '93 naikumbuka kama jana And that's why (rest his soul) I never talk about him Na nilipromise mom next day, nitaenda kumwona hosi Deep within I was bitter, jua kadhaa zikapita Machozi kwa giza but nasmile in disguise Ati nimwache apone kwanza, ndio apate nguvu ya ku-apologize Hadi alitumana, I always blame myself for that Fursa tu, nikakataa kusema goodbye to dad Hio kitu huniuma hadi wa leo Wimbi zangu zimepotea kwa uteo Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Oh, oh, oh Elani Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Hata nikisema asali mara ngapi utamu haitafika kwa mdomo Ndio kitu niligundua vile tu nyi mlikuwa wadogo Saa hii me ni father of two before mzaliwe mlikuwako news Naomba baadae mtanielewa, kwa saa hii me nitawalea Mnatoa meno lini, I wish mngekuja na manual Plus narespect mama zenu vile situation walihandle Tumedisagree, tumego for days hatujaongea Hata maji sakafuni after day inapotea Nawish singeido, but nikiwatazama it's so good Na mimi sio perfect, hakuna moment naregret Busy kwa stage na Onset, ndio muwe na chakula kwa plate Nawapenda, niko njiani Kwangu everyday ni Father's day Elani Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Oh, oh, oh Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Bryan Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Oh, oh, oh (Papa, papa, papa) (Papa, papa, papa) (Papa, papa, papa) (Papa, papa, papa) Elani Huu wimbo ni wako baba Natarajia uko salama Nakumbuka ulivyo kazana Na sura yako baba nitakumbuka Oh, oh, oh Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa) Wewe (papa, papa, papa)