Taratibu wazee kwa vijana Wamama kwa wasichana karibieni sauti inawalilia Kwa huzuni mingi samahani wapenzi tega maskio Mniskilize mazuri apa kwa wingi maovu yote tunaodoa Ukurasani chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike Chizika na wako wanyumbani mwenye mapenzi kiupendo ya Kifahali isiyo ya leo loe leo tu, milele milele eeh nasema tena milele milele eeh Kaa ukijua eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe Kijana ama mzee Wachana Naye anasifa za kuacha mapaja Na migogo wazi mwenye kumelemeta kaa maridadi car usiku anakaa Mwangaza ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisahau Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza Sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu Sometime amevalia kogi kogi utaskia kogi kogi akipita Kwa maringo huyo ni kama funza anasaka pakutubukia Kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo walalahoi Na walalahoi wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau Na familia zao manyumbani kuwa mjaja usifanywe mtumwa Wakate waodoe kwa line up ya maisha yako usipagwe na Nderemo na shagwe siku zote jijue wewe mwenyewe uwapendao Uwatunze dio watakao kuzika watasimama nawe wakati wowote Kama ujui jua leo hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima Sio siri tena ni wazi hatharani hawa watu wako mumejionea Wenyewe jihathali ishi na watu vizuri eeh Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza Sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu