Uyee, uyee, uyee Mmhh Kuna muda wanakupa faraja Unadhani unalivuka daraja Wapewa sifa unanyimwa na haja ya mmh Na kuna muda unapitia darasa Unasoma humalizi kurasa Hufiki mbali wanakupa mikasa baba Kama kuimba mi naimba sana Na wananisifia Na sasa mbona sitoki mmh Kama kuandika naandika sana Nyimbo zao nazijua Sasa mbona sitoki Labda muda bado haujafika Acha apewe Mondi nami atanipa Labda mimi bado mmh Ninachofanya mimi nakasirika Anapendwa Amber mimi naadhirika Yaani bado mmh Au niroge Nichukue na maji nioge Ndo nyota ing'ae ng'a mmh Kwa Wema ni ombe Nipite kwa Jacky nimgonge Niende kwa Zari anihonge Ndo watu wanitambue Na bado bado bado Iyee iyee iyee (oh Lord) Iyee iyee iyee (naomba hii) Iyee iyee iyee (angalau nyimbo moja tu) Iyee iyee iyee Iyee iyee iyee Iyee iyee iyee (nipe) Iyee iyee iyee (angalau nyimbo moja tu) Iyee iyee iyee (na mimi wanitambue) (Mmh ulalalala) Mwanzo nilidhani gundu Au nyota labda inafifia Nikajipa moyo nikiwa na yule Labda atanyenyua Kumbe ni kibudu Mbuzi kafa alafu namnyanyua Nikajipa moyo Ati kwenye giza nilikonijua Ila kwanini bado Wanapendwa wao mi sionwi Ila kwanini bado Wanapendwa wao mi sionwi Waliokuwa dogo zangu wanahit Au labda nilifungura ridhiki Au labda mimi kwenyu sihijajiki Amber Rutty na video ana kiki Yule naye kaimba buku ana hit Au labda mimi kwenyu sikikiki yooo Tatizo lenyu nyi vya maana hamvipendi Ujinga jinga na ushenzi ndo vinatrend Ukikosea hata kidogo hakupendi yoo Au niroge Nichukue na maji nioge Ndo nyota ing'ae ng'a mmh Kwa Wema ni ombe Nipite kwa Jacky nimgonge Niende kwa Zari anihonge Ndo watu wanitambue Maana bado bado bado Iyee iyee iyee (naomba nihit) Iyee iyee iyee (naomba unione) Iyee iyee iyee Iyee iyee iyee (mi nishachoka mie) Iyee iyee iyee (na mimi wanitambue) Iyee iyee iyee Iyee iyee iyee (ooh lalalala) Iyee iyee iyee