Uzuri wa asili natural color wee
Nimepagawa mimi mgonjwa
Mama unipe dawa wee
Leo nakupa siri, ukae ujuwe
Kama wakwanza Mungu wapii
Wazazi watatu ni wewe

Hata nikienda mbali tunda langu nitunzie
Wasije kina fulani wakaling’ata

Nitatafuta kwa bidii
Nitaongeza juhudii
Omba Mungu abariki mama
Oh mama

Nitatafuta kwa bidii
Nitaongeza juhudii
Omba Mungu abariki mama
Oh mama

Hata dakika
Nisipo kuona nitakonda mie
Ninachokuomba nivumilie
Ipo siku nitakua chema

Hata hakika
Ni vumilie mababy usiondoke
Nitapata na mimi usichoke
Labda kesho yangu yaja ahaa

Usiri sura yako
Vinanifanya nidate
Nishike mwenzako
Nimedondoka niokote

Niko tabata foleni
Si unajua dala dala haipenyi
Najionea mageni kuna mengi
Mengine sisemi

Sinajua wyenye dhiki mama
Inaponza so natafuta
Nisije kosa ukanitosa oh mama

Nitatafuta kwa bidi
Nitaongeza juhudi
Omba Mungu abariki mama
Oh mama

Nitatafuta kwa bidi
Nitaongeza juhudi
Omba Mungu abariki mama
Oh mama

Hata dakika
Nisipo kuona nitakonda mie
Ninachokuomba nivumilie
Ipo siku nitakua chema

Hata dakika
Ni vumilie mababy usiondoke
Nitapata na mimi usichoke
Labda kesho yangu yaja ahaa
    Página 1 / 1

    Letras y título
    Acordes y artista

    restablecer los ajustes
    OK